Kwema mkuuAaah
Bro kwemaa!!? Keo huja pita pita umu ee
Thanks honeyI love you too
Kama weweAnatoka kwa bwana
![]()
![]()
![]()
![]()
duuh! Hapo unakuwa umesamehewa au umewekwa kiporo?
Maisha yasonge sasaNimeshamsamehe
Kama kawaidaMaisha yasonge sasa
Ni kweli.Wanafungwa vibaka ila matajiri wanapeta tu kitaa...Pesa ni ndugu yake Yuda...ilimdalalia mwana wa Mungu!
Nzuri za siku mingiZa jioni?
Mi 2 hazinitoshiNakitwanga kistaarabu...mwisho 2
Napiga na juisi
.........

Hiyo kweli ni Death
Ulienda wap!!?Hiyo kweli ni Death
Huyo anayepewa angalizo utafikiri Wema Sepetu kwa sababu naye mahips yake sometimes hayaeleweki!napita..![]()
![]()
![]()
Hana washauri wazuri. Wanafunzi siyo watu wa kugombana nao. Yaani ange-score political points za bure kwa kutatua tatizo lao mara moja KAMA KWELI NI WALE WALIOLETWA KWA AJILI YA KUMALIZA TATIZO LA WALIMU WA SAYANSI. Kama ni wengine wameingia chuoni kwa njia za panya ni haki yao kutimuliwa japo siyo kwa ukatili hivi.Sasa nimetokea kumwogopa rais zaidi ya ukoma, hana chembe ya huruma utafikiri hao watoto walijiamulia kuingia chuoni wenyewe.
Hajaguswa hata na matukio ya ubakaji kwa wasichana!!!
Namba inasomeka sasa
Vitu vyako hivyoHuyo anayepewa angalizo utafikiri Wema Sepetu kwa sababu naye mahips yake sometimes hayaeleweki!
Vyangu kivipi mkuu? Mali za masupastaa hizi na mapedeshee. Mimi hata niuze ng'ombe wote wa familia na mashamba ya ukoo sidhani kama naweza kumpata binti Sepetu. May be few years huko mbele ya safari akichoka kidogo na mahips yakizidi kuwa makubwa!Vitu vyako hivyo
Watu tupo viwanja tunakula raha nyie mpo bize kujadili Polifix za wanafunzi ...mnajipa stress za bureVyangu kivipi mkuu? Mali za masupastaa hizi na mapedeshee. Mimi hata niuze ng'ombe wote wa familia na mashamba ya ukoo sidhani kama naweza kumpata binti Sepetu. May be few years huko mbele ya safari akichoka kidogo na mahips yakizidi kuwa makubwa!