Makapuku Forum

Makapuku Forum

Makapuku bwana mmeshafika home? Sasa sikiliza, Sminoffff imekaaaaa na what let me think tangawizi nimekula na ndizi na nyama na mhu vichekesho plus Tennis hivyo sijambo mlale unono.
Leo ndo unatokezea wakati nilipost three days ago? Ningekufa ungemuuliza nani wakati huna simu, email au hata adress ya kwangu ndo maana wenzetu wajanja simu bila adress mhu hupati ila sisi kanjanja bora liende. Sijafa ila umechelewa niseme nite nite kwa leo 2nd of June 16 ili kama nikiondoka ujue nilikuaga le saa 19.28
 
Ya mwendo kasi
ffcd22458d27cbde27c113cd79e9757b.jpg
 
Leo ndo unatokezea wakati nilipost three days ago? Ningekufa ungemuuliza nani wakati huna simu, email au hata adress ya kwangu ndo maana wenzetu wajanja simu bila adress mhu hupati ila sisi kanjanja bora liende. Sijafa ila umechelewa niseme nite nite kwa leo 2nd of June 16 ili kama nikiondoka ujue nilikuaga le saa 19.28
Hivi kapuku ni kapuku kweli nilifiri namjibu mtu kumbe najijibu mimi. Miwani ina ukungu mhu am sori.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom