Huu sasa ujinga kuna watu rundo tumehitimu vyuo miaka kibao bila ajira......wao wana uhakika wa ajira lkn kuchelewa kidogo TU full povu
THAT'S WAPUUZI
............
goodMorning people.
nimejikuta naamkia hapa, as jana usiku niliacha ujumbe hapa kwa ajili ya my Jimena, sikujua nini kimeendelea as nimekuta page zimetembea sana!!
now i can declare something!! sumbai mzima kaka? we have plan, don't forget it.