Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Nimekupiga juju za KigomaBora umerudi labda likes zitaongezeka...... Laki kufikisha 5 kwenye post moja imekuwa mtihani mzito....
.........
Nimekupiga juju za KigomaBora umerudi labda likes zitaongezeka...... Laki kufikisha 5 kwenye post moja imekuwa mtihani mzito....
81Morning Brodaz and Sistos changamsha akili kwa kusolve hesabu hili,
View attachment 352353
Hivi wewe nae si ulisoma vipaji maalum eeh???Hapana sikupata hiyo
Vipaji maalum mchezo??Hivi wewe nae si ulisoma vipaji maalum eeh???
Mi ht nipangiwe Ngara Kagera au Sumbawanga naenda kufuata mawe
Mi napigaga vya ukweli sio hizo takataka
Pumzika na ww sasa khaaa!!!Mi napigaga vya ukweli sio hizo takataka
.......
Pumzika na ww sasa khaaa!!!
Hahahaa![]()
City Boy in Da Town
Ngoja nipige Kitwanga 3
..........
Nimekuona umeingia TOP 20 LIKES JFHahahaa
Upumzike yaan ukae hom
Hiyo ndio dawa ya ving'ang'anizi kama hao
