Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sanaaaa mi toka shule nazichukiana usumbufu wa hali ya juu
Sanaaaa mi toka shule nazichukiana usumbufu wa hali ya juu
Hahahaha hamna neno ni kwavile umezoea kuwa mi ni wa mwishokumbe mimi ndio nililala sana...sorry
Kukariri nako ni vibaya!!Hahahaha hamna neno ni kwavile umezoea kuwa mi ni wa mwisho
mara utasikia four figure!! Nachukia hesabuSanaaaa mi toka shule nazichukia
DarDaaah.....
R I P
Hahahaha mambo hubadilikaKukariri nako ni vibaya!!
Mimi ndo nazipwnda na Form 5 nilipata EGMmara utasikia four figure!! Nachukia hesabu
Ndo ivoPole mkuu,
Ila ndo umeshafika hata hivyo
Mi sikupata mswaki, nna D na hapo ndo tulipata feki originateMimi ndo nazipwnda na Form 5 nilipata EGM
Mathematics oyeeeee
Mliopata miswaki (F) ya hesabu poleni
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Rapping In PublicR I P

Bora umerudi labda likes zitaongezeka...... Laki kufikisha 5 kwenye post moja imekuwa mtihani mzito....Ndo ivo
Nimelala tu gheto
.......
LolRapping IN Public![]()
Nikazani ulipata 7F - Fit For Fighting For Food For Four yrs.Mi sikupata mswaki, nna D na hapo ndo tulipata feki originate![]()
![]()
![]()
Nilijaribu kutumia chabo ila haikusaidia sana,
Hapana sikupata hiyoNikazani ulipata 7F - Fit For Fighting For Food For Four yrs.