Maradonna
Senior Member
- May 24, 2016
- 183
- 649
Mkuu hilo ndilo jibu sahihi.
Mkuu hilo ndilo jibu sahihi.
Poa habari ya wewe?Za Tuesday humu ndani
Nae ni jipuMwalimu aliyekosa hesabu na yeye anakosesha majibu sahihi.T
Safi tu Dada. Za huko?Poa habari ya wewe?
La kumpa mtoto pombe.Kwa kosa gani???
Kajifanya kama meseji yangu hajaiona vile hahaha
Pamoja sana mkuu siku ingine uje na mahesabu ya maana.
HaaaaLa kumpa mtoto pombe.
Pombe apewe mtu wa 17 na kwa uangalizi maalumu na wa 18 anywe kwa mapenzi yake
Kama hili tu na jasho limekutoka hilo la maana si utatirirka maji kabisa?Pamoja sana mkuu siku ingine uje na mahesabu ya maana.
La kumpa mtoto pombe.
Pombe apewe mtu wa 17 na kwa uangalizi maalumu na wa 18 anywe kwa mapenzi yake
