Nipo nilikuwa nasoma article moja kuhusu Rwanda. Hawa watu hawachoki kuchokozana.Nyanya upo bado ama umetoweka tayari?
Nipo nilikuwa nasoma article moja kuhusu Rwanda. Hawa watu hawachoki kuchokozana.Nyanya upo bado ama umetoweka tayari?
HahahaHahahahah mkuu umeamua kuwa mwalimu msahihishaji?
Mie nime angalia tuu uelekeo nikaona Manuu kashaWe ndo mwalimu???

Niko poa sanaaaDada tupo poa sana leo..Wewe unaendeleaje?
Namba ni shiiiiidaMie nime angalia tuu uelekeo nikaona Manuu kasha![]()
Wii umeadimika??Asubuh njema all
Poa ndugu habari za kwako?Za Tuesday humu ndani
Hhahaah hesabu ni janga la kitaifa..Hahaha
Apo nilikuona kabisa unaenda chaka
Safi tu kaka. Shemeji yangu mzima?Poa ndugu habari za kwako?
Wewe umepotelea wapi!!?Wii umeadimika??

Na wewe umeadimika sana kabisa..Wii umeadimika??
Kaka umepotea Sana. Au ndo ulezi unabanaPoa ndugu habari za kwako?
Nipo hata asubuhi nilikuwa hapa kaka umemficha Sana wifiNa wewe umeadimika sana kabisa..
Nakupaaaa hebu subiri, nakupa Ludewa au Mtama Lindi. Miji mikubwa ni aghali kuishi.Nimeukataa.
Mzima sana niko naye hapa anakusabahi...Umepotea sana wewe na shemeji yangu lizziebettie ama na yeye umempeleka kijijin kusalimia?Safi tu kaka. Shemeji yangu mzima?
Wewe umepotelea wapi!!?
Ckukuona kabsa siku madrid tuna![]()
![]()
36Morning Brodaz and Sistos changamsha akili kwa kusolve hesabu hili,
View attachment 352353
Msalimie sana. Si unajua tena kaka kusalimia wazazi ni muhimu sanaMzima sana niko naye hapa anakusabahi...Umepotea sana wewe na shemeji yangu lizziebettie ama na yeye umempeleka kijijin kusalimia?
Wifi yako yupo dada ni hii baridi inatufanya tusionekane maana tunalala kutwa, kuchwa..Nipo hata asubuhi nilikuwa hapa kaka umemficha Sana wifi