Maradonna
Senior Member
- May 24, 2016
- 183
- 649
Jaribu mkuu siyo hesabu ngumu ni chemsha bongo tu wala haitaki calculator hii.Mi na mambo ya hesabu tofauti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jaribu mkuu siyo hesabu ngumu ni chemsha bongo tu wala haitaki calculator hii.Mi na mambo ya hesabu tofauti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hapana, niliamka kitambo na magazeti nilishawekapoa mkuu, leo umelala sana
Natoa mji Kakonko.Umepotea njia kabisa, Karibu kwa kujaribu mara ingine.
Huyo baba afungwe
Mkuu jaribu ni rahisi mno hii na nitatoa jibu hapa hapa.Kitendawili hko
Hesabu ya namna hyo cjaonaga
Nimeukataa.Natoa mji Kakonko.
HahahaMi na mambo ya hesabu tofauti![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bora ulivyoacha kuvaa, mambo ya hesabu ni kero
Mkuu subiri kidogo nione majibu ya wengine pia unakuja kuja.Jibu ni (3+3)6*(3+3)6=6*6=36
Bila shaka hili laweza kuwa jibu..
Mwachen dogo apate burudaniHuyo baba afungwe
Mtoto kafanana na nae kila kitu, masikio, kichwa yani kila kituKweli ila yawezekana baba mwenye nyumba karidhia au ni mcha Mungu kasamehe ila ukweli mtoto ni wa HB.

We ndo mwalimu???
Nyanya upo bado ama umetoweka tayari?Abeeeeee.
SawaHahaha
Hiyo siyo hesabu hata usihangaike
Labda.....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aliyataka mwenyewe huyo
Burudani zipo ila sio za pombeMwachen dogo apate burudani
Hahahahah mkuu umeamua kuwa mwalimu msahihishaji?
Dada tupo poa sana leo..Wewe unaendeleaje?Tupo kaka, habari ya wewe
Hapana toa jibu kama ndiyo ama hapana...Mkuu subiri kidogo nione majibu ya wengine pia unakuja kuja.