Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
teh teh...wanasemaga Math ni ugonjwa wa taifaMorning Bro umekosea sana na kama kungekuwa hakuna second chance ndiyo hivyo ingekuwa ushabug, jaribu tena.
teh teh...wanasemaga Math ni ugonjwa wa taifaMorning Bro umekosea sana na kama kungekuwa hakuna second chance ndiyo hivyo ingekuwa ushabug, jaribu tena.
teh teh...wanasemaga Math ni ugonjwa wa taifa
Ni kweli kabisa mkuu ila ukikaza macho vizuri ni rahisi sana kusolve hii.teh teh...wanasemaga Math ni ugonjwa wa taifa
Hiii siyo hesabu kwa kweliMorning Brodaz and Sistos changamsha akili kwa kusolve hesabu hili,
View attachment 352353
Karibu ndugu tuchemshe Bongo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mattzo hayo umejutafutia mwenyewe
Ni nini hii mkuu?Hiii siyo hesabu kwa kweli
Hujambo bidada? Kitanda hakizai haramu!!!!!
16 x 16 = 256Morning Brodaz and Sistos changamsha akili kwa kusolve hesabu hili,
View attachment 352353
Nipo mimi nyanya yenu wengine wapo kazini. Chezea matapu tapu wee.Wakuu mpo huku ndani ama nimebaki mwenyewe....
umeona eeh!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mattzo hayo umejutafutia mwenyewe
Basi hii ni bahati ya pekee kubaki na mimi na nyanya nyumbani walau naweza kukuuliza maswali kadhaa Nyanya kama ukiniruhusu..Nipo mimi nyanya yenu wengine wapo kazini. Chezea matapu tapu wee.
Unajua sijavaa ile miwani yangu ya kusomea...We toka lin
22 ×22 iwe 16 !!!!
Khaaaaa
Poa sana mkuu...Mishe mishe vp? Wacha nibanane na nyanya hapa kwanza leo..Tupooo
Za kwako!!?
HahahaUnajua sijavaa ile miwani yangu ya kusomea...
HahahaaPoa sana mkuu...Mishe mishe vp? Wacha nibanane na nyanya hapa kwanza leo..