Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Sawa mkuu ntafanya hivyoJimena uwe unaweka na lile gazet LA udaku LA wingereza LA the sun
One lovePamoja sana my sisy...
Wazima, sijui wewe?wazima makapuku?
Ntajaribu kuufanyia kaziUshauri mzuri sana
Kariiibuuu.,...mkuuunaomba kujiunga nanyi makapuku
Mambo VIP kiongoziUshauri mzuri sana
Ha haahh chura jike ulikua nae....Nitoe cheti cha ndoa kwani Guest nilienda kuomba kazi? Halafu nakumbuka hata huyu chura niliyekua naye hakunipa risiti ya EFD kwa malipo niliyompatia! Siku nyingine nitamdai double slip ili tuende sawa!
BrazaBingwa
Miss you shemdarlingWazima wote?
Karibu sana nenda page ya kwanza soma post number 3naomba kujiunga nanyi makapuku
Ha haahh chura jike ulikua nae....
Kwa Hiyo wewe chura dume
Niaje brazaBraza
safi mkuuwa afya mkuu
niko poa best.Wazima, sijui wewe?