Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sasa nimelielewa lengo lako
Kumbe upo hapa kupotosha makusudi.
UELEWE LAANA KIBIBLIA
Biblia inataja laana kama dhambi
Kumbukumbu la Torati 28:15-60
Na matokeo ya laana/dhambi ni
Magonjwa, utasa, mikosi,njaa, magonjwa yasiyotibika, mvua kutonyesha kwa wakati, tauni, mvua za kuzidi/mafuriko nk
Je? Hujalaaniwa wew?
Israel walipotenda dhambi uliadhibiwa, lakini walipotubu walisamehewa laana/dhambi.
Adhabu moja wapo ilikuwa ni kutekwa na adui zao.
Ezekiel wakati anatabiri alikuwa utumwani/uhamishoni pamoja na israel.
Walipotubu walirejeshwa nchini mwao soma ISAYA 40:1-30
Watulizeni mioyo watu wangu asema Mungu wenu. 2 semeni na moyo wa Yerusalem, kauambieni kwa sauti kuu ya kwamba vita vyake vimekwisha, uovu wake umeachili (yaani wamesamehewa)
Kwa kuwa amepokea kwa mkono wa Bwana ADHABU MARA DUFU KWA DHAMBI ZAKE ZOTE.
.
..POTOSHA TENA NIKUJIBU

Valentina mzm dadake!
 
Ezekiel 5:10-15 God said: Fathers shall eat sons, sons shall eat fathers. I’ll inflict punishment on you. You have defiled my sanctuary. I’ll cut you down, no pity, no, mercy. 1/3rd shall die of pestilence, 1/3rd will die of sword, I will scatter and pursue 1/3rd with the sword. I will send famine against you and rob you of your children. I have anger, fury and jealousy. I, God, have spoken.
Ezekiel 7:8-16 Soon, I’ll pour my fury and anger upon you. I will look upon you with no pity or mercy. He in the country shall die by the sword, pestilence and hunger will devour those in the city.
Ezekiel 9:2-8-10 Six men come with a weapon in their hands. Mark an X on the forehead of those who moan and groan of the abominations practiced within. Strike without pity or mercy and wipeout old men, youths and maidens. Defile the temple. Fill the courts with the slain. God! Will you destroy the rest of Israel? I will not show mercy, nor pity.
Ezekiel 18:3-4 God said: All lives are mine

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom