Tukumbuke kudai risiti tunapofanya manunuzi hata ya nyanya..Twende tukalijenge taifaa
Tukumbuke kudai risiti tunapofanya manunuzi hata ya nyanya..
Ha haa magufuli alipokula hotelin pale Mwanza alidai risit???Tukumbuke kudai risiti tunapofanya manunuzi hata ya nyanya..
Hakuchukua yeye,ila yupo aliyechukuaHa haa magufuli alipokula hotelin pale Mwanza alidai risit???
Kweli mkuuJimena ya kweli haya![]()
Namimi yupo aliyechukuaHakuchukua yeye,ila yupo aliyechukua
Umeipata??Namimi yupo aliyechukua
Yes mkuuUmeipata??
Ha haa hukupewa kwa vile hukutoa chet cha ndoaJana nilipoteza risiti yangu niliyotoka nayo nyumba ya wageni...leo naenda kudai nakala ya risiti! Shkamooni!
Hilo zee sina shirika nalo, wakati huu uzi unaanza ndo alikuja hapa kuomba undugu na nikamtimua na watu wote wanajua, so please achana nae
Aaah wapi!! Atasubiri sana meli airportJimena ya kweli haya![]()
Morning allGoodmoning alll
Utasutwa sasaKweli mkuu
Ila hawez kujibu. Labda pm
Yatawajia hivi pundeJimena magazeti