Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
jana mmenifanyia umafiaAaah
Haezi mussolin5 akikumbuka jana hata nipa chochote
jana mmenifanyia umafiaAaah
Haezi mussolin5 akikumbuka jana hata nipa chochote
Hahahaaaajana mmenifanyia umafia
AahahahaSasa leo nafuu, hiyo siku mpaka nnilitamani niweke na foto yangu eneo la tukio
Nawe pia na mi na lalaUsiku mwema wote!!
Pia we hukuwa serious kihivyoo hao walikomaa hatariAahahaha
Haina haja mie ni mtu muelewa ( though am not a liberal)
Mbona mapema sana?? Haya usiku mwemaNawe pia na mi na lala
Asante na kwako piaUsiku mwema wote!!
umetisha nkuuAaaah
Mi uwa sivungi natembea na ugali wangu, pilipili, chumvi na ki samaki kabsa kabsa
Katisha sio kidogoumetisha nkuu
Daah..mkuu umenikumbusha fyatanga bar.
weekend nyingine inabidi nitue pale.