Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HahahaaNimecheka sanaaaaaaaaaaa
Sasa je ukiona sahani yangu![]()
kuna siku nilipost watu wawili wanasema ni ya google
Ebu siku weka alafu ntapima na mimi
HahahaaNimecheka sanaaaaaaaaaaa
Sasa je ukiona sahani yangu![]()
kuna siku nilipost watu wawili wanasema ni ya google
Shauri yaoAcha tu. Wenyewe wanaona sifa

AaahUgali sio lazima
Kaamua kula na ndizi
Pombe sio chaiShauri yao![]()
Pure google sasa hiyoView attachment 351976
Karibuni
Kushiba nyumbani...Mweeee
Ulaji huu jaman
Mbona ni mboga tupu!!?
Labda mwakaniHahahaa
Huwezi pata nyingine!!?
hapo sawa...![]()
Hapo jee!!?
Mweer, mbali ukooLabda mwakani
Si unajua sehemu za maigizo na wewe lazma uwe muigizajiAanhaaaa
Bas sawa apo, kama ni appetizer
Wala sio GooglePure google sasa hiyo
Aje achukue mapema...Muwahi Mussolin5 akupe walau vipande 3
Apo sasa ndo unakulahapo sawa...
comment ya #44444Wala sio Google
Hebu kagoogle na wewe ulete