Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Wengine mpaka wanababuka lipsWe acha tu
Ipeleke bankHiyo kwa kweli cjui pa kuipeleka
Ilikuwa kuiona elfu kumi siyo mchezo
Hayo utajitegemea mi uwezo wangu umeishia hapo tu labda na hapaHahahaa
Iyo situmii, natumia juis, na maji , naaaa maji tena
Mwisho watapata kwashakoo sasaWengine mpaka wanababuka lips
Cheers![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
cheers
Hahahaa
Naziona mboga, ila ugali haupo apoYummy![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Acha tu. Wenyewe wanaona sifaMwisho watapata kwashakoo sasa
Msosi wali na maharage halafu mtu anashushia kiroba mmh
Kesho ntapeleka
Tutaenda wote na ww ulo nipa
kwani wanakataza??Nimecheka sanaaaaaaaaaaaMweeee
Ulaji huu jaman
Mbona ni mboga tupu!!?
kuna siku nilipost watu wawili wakasema ni ya googleAah![]()
![]()
![]()
kwani wanakataza??
Waambie kakupa Ximena basi hawatakusumbua
Ugali sio lazimaNaziona mboga, ila ugali haupo apo