Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Mi bapa labda kwenye cocktail ila vile kuweka mezani kujaribu kumshusha mtu mikono aliyopandisha kwa mapenzi yake hapanaWala sitaki mbwembwe kwenye vitwanga. Bapa nilikunywa siku moja sina hamu nayo tena
Hii nayo ya mugabe!!?Ananifurahisha sanaaaa
View attachment 351971
Hizo zote safi, maswala ya kunywa vitu huku unakunja uso mpaka sura inazeeka hayafaiKilimanjaro ndovu castle lite/lager Windhoek
Ile shughuli aisee. Ila kuna Watu na vitu vyao aiseeMi bapa labda kwenye cocktail ila vile kuweka mezani kujaribu kumshusha mtu mikono aliyopandisha kwa mapenzi yake hapana
Hajawahi kukoseaHii nayo ni shida kwakweli
ametukana...
Hata mimi sitaki kabisa. Nakumbuka valeurHizo zote safi, maswala ya kunywa vitu huku unakunja uso mpaka sura inazeeka hayafai
Weka mbali na watotoWala sitaki mbwembwe kwenye vitwanga. Bapa nilikunywa siku moja sina hamu nayo tena
uko poa sana!!Kilimanjaro ndovu castle lite/lager Windhoek
Umuoe huyo dada yao uliyetoka nae kwa miaka 7Hawajasema nimuoe nan hapo
Weka mbali kabisaWeka mbali na watoto
Anzia 10Hahaha sema tu ngapi?
Lite tu zinatosha kwa sasauko poa sana!!
Kuibiwa live
AaaahUmuoe huyo dada yao uliyetoka nae kwa miaka 7