Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Uko vizuri sana...Inategemea na hali ya hewa ila kuanzia 6, manake maana nilipo bia za kawaida zina alc 5.2 - 7 hivyo hizo bia za alc 4.5 nakunywa nyingi tu
Uko vizuri sana...Inategemea na hali ya hewa ila kuanzia 6, manake maana nilipo bia za kawaida zina alc 5.2 - 7 hivyo hizo bia za alc 4.5 nakunywa nyingi tu
Usimjali we piga vyombo vile unajisikiaIla youngblood amenipa pole aisee
ni kweli mkuu...Ndo manake. Ukitaka unaweza umbuka bure
Zote sawa tu cha msingi ni kulewaNdovu je?
HahahaMwaka huu atakonda kwa kusingiziwa
Hii nayo ni shida kwakweliIf God gives you beauty without brain, your secret parts suffer the most. - Robert Mugabe.
Mmmh utakuwa umetafuta balaaHahahaa
Asa ao dawa yao naacha dada yao naoa mwengne
Wala sitaki mbwembwe kwenye vitwanga. Bapa nilikunywa siku moja sina hamu nayo tenaUsimjali we piga vyombo vile unajisikia
Achana na zile ngumu kumeza
Hongera kwa kupata uzoefuHahahaa
Nipongeze apo
Siku nikija tukae mahali kisha utahesabuNyingi ngapi Dada?
Kilimanjaro ndovu castle lite/lager WindhoekZote sawa tu cha msingi ni kulewa
Thanks na zawad muhimuHongera kwa kupata uzoefu
HakikaAaah
Wanaleta uzoefu watu kama hao
Nothing beats experience
Hawajasema nimuoe nan hapoMmmh utakuwa umetafuta balaa
Hahaha sema tu ngapi?Siku nikija tukae mahali kisha utahesabu
Asante... Ni kutokana na hali ya hewa, kadri baridi inapozidi ndio naUko vizuri sana...
inaponyweka zaidiNi kweli hapoHakika
Hahaha
Alaf wana muaibisha mzee wangu mugabe