Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Hawa viumbe kwa uongo ni balaa mkuu.Kwa kweli mtu hata akikwambia anaumwa unadhan ni uongo
Labda adondoke kabsa kabsa
Hawa viumbe kwa uongo ni balaa mkuu.Kwa kweli mtu hata akikwambia anaumwa unadhan ni uongo
Labda adondoke kabsa kabsa
teh teh tehSio kwa kumsingizia huko....![]()
![]()
![]()
![]()
Mugabe latest quote..
When the two Madrids are involved let the REAL one Win
By Robert Mugabe yesterday
Ila youngblood amenipa pole aiseehapo sawa mkuu
Hizo wanakunywa malearner.Pole ya nini sasa!?
Ushemeji umekuwa mrefu sanaHaaa
Ao wana lazmisha kuoa
Mweer!!?
HahahaaHawa viumbe kwa uongo ni balaa mkuu.
Ndovu je?Hizo wanakunywa malearner.
Inategemea na hali ya hewa ila kuanzia 6, manake maana nilipo bia za kawaida zina alc 5.2 - 7 hivyo hizo bia za alc 4.5 nakunywa nyingi tuAlaa kumbe!! unaweza kunywa ngapi kwa mkupuo?
HahahaaUshemeji umekuwa mrefu sana
Pole sana kwa matesoEeeh
Nlisha wahi kabsaaa
Huyo nae ni keroKwa kweli mtu hata akikwambia anaumwa unadhan ni uongo
Labda adondoke kabsa kabsa
Kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake!!Ila youngblood amenipa pole aisee
Nyingi ngapi Dada?Inategemea na hali ya hewa ila kuanzia 6, manake maana nilipo bia za kawaida zina alc 5.2 - 7 hivyo hizo bia za alc 4.5 nakunywa nyingi tu
Mwaka huu atakonda kwa kusingiziwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Uyu mzeee ni shda jaman
aisee...Hizo wanakunywa malearner.
Kaaazi kubwateh teh teh
Ndo manake. Ukitaka unaweza umbuka bureKila mbuzi anakula urefu wa kamba yake!!
AaahHuyo nae ni kero