Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
mi kila siku lazma pepsi ihusike.Hahahaa
Sijanywa soda nna kama miez 3
Nme weka rekodi kwa kweli
mi kila siku lazma pepsi ihusike.Hahahaa
Sijanywa soda nna kama miez 3
Nme weka rekodi kwa kweli
Bia napiga ila sio viroba wala nyagiSasa bia hutaki,soda hutaki,au unataka uji wa ulezi.
Ila mengine wanamsingiziaYule mzee ni balaa
Bia gani unapiga bro.Bia napiga ila sio viroba wala nyagi
Ndio[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mmmmh
Ipo kweli hyo!!?
CastleBia gani unapiga bro.
Mupe..muruke..mupe..muruke..!!
weita mpelekee jamaa Windhoek 3Bia napiga ila sio viroba wala nyagi
AiseeeZawadi ambazo MWANAUME humzawadia MWANAMKE ni
1. Nyumba
2. Gari
3. Duka ( biashara yoyote ile) nk
Zawadi ambazo MWANAMKE humzawadia MWANAUME ni
1. Kaushi
2. Boksa
3. Saa
I swear GOD is watching you...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] #Robert Mugabe
Kweli!,ila mzee naye amezidi.Ila mengine wanamsingizia
Miezi 3 tu?? Mi kama mwakaHahahaa
Sijanywa soda nna kama miez 3
Nme weka rekodi kwa kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aiseee
Wenyewe wanasema castle ina hangover ni balaa.Castle
Mwambie afanye harakaweita mpelekee jamaa Windhoek 3
HahahaKweli!,ila mzee naye amezidi.
Ipi sasa lite au lagerWenyewe wanasema castle ina hangover ni balaa.
Ikifikia hapa huna budi kufunga hata ndo ya mkeka.
teh teh teh...kwani katiba inasemaje?
Windhoek nzuri, mi heiken nayweaga shida tu wala sizifeelweita mpelekee jamaa Windhoek 3
Nlikuwa nakunywa kila skuMiezi 3 tu?? Mi kama mwaka