Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Fanta nazo mnaweza kushangaa nyuki wanajaa mezaniHapa ni vitwanga tu.
Hakuna fanta orange.
Fanta nazo mnaweza kushangaa nyuki wanajaa mezaniHapa ni vitwanga tu.
Hakuna fanta orange.
Mimi napiga konyagi brother.Wewe unapendelea nini braza?
Hiyo hapana kwanguMimi napiga konyagi brother.
Unadhani kuna mzinga.Fanta nazo mnaweza kushangaa nyuki wanajaa mezani
Viroba pia vipo brother usiogope.Hiyo hapana kwangu
Hii lazima ameitoa MUGABEFanta = Foolish Africans Not Taking Alcohol
Situmii hivyoViroba pia vipo brother usiogope.
Ndio, kitu ambacho ni Hatari kwa afyaUnadhani kuna mzinga.
ImagineFanta = Foolish Africans Not Taking Alcohol
Sasa kama vitu kama hivi hutumii bar unafata nini brother.Situmii hivyo
Basi haija isha hvoLeo 00:00 hrs![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwani vinywaji hivyo tu au?Sasa kama vitu kama hivi hutumii bar unafata nini brother.
hahaha...Mugabe kwa sasa ndio habaree ya mjiniHii lazima ameitoa MUGABE