Kwema Mkuu.Kwema humu wapendwa
Njema kabisa tumeamka kupambambanaKwema Mkuu.
Habari ya asubuhi.
Nishafika vijiji vingi kila mtu anafanya upuuzi wa KITWANGA ....children to adultsHuko vijijini ni shida aisee
Wananchi wanakunywa pombe kuanzia asubuh hadi jioni ile sheria ya pombe ni kuanzia saa 9 alasiri kule haipo
NGOs Kwa kushirikiana na serikali inabidi watoe seminars juu ya kuzingatia by laws za vijiji bila kusahau sheria mama.
Hali ni mbaya sana Kwa baadhi ya vijiji
Kweli Mkuu.Njema kabisa tumeamka kupambambana
Nice words
Njema kabisa tumeamka kupambambana
Hapo ndiyo kuna shida.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Kwahyo jamaa ameoa wote watatu.![]()
Ili apate majiko mengi
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Hii ni fursa mkuuNishafika vijiji vingi kila mtu anafanya upuuzi wa KITWANGA ....children to adults
Vijinini wanatisha
![]()
![]()
![]()
.......

Ukiona unachukiwa....ujue wewe ni matawi ya huu(sio level yao)Hapo ndiyo kuna shida.
Kuna mtu anaweza kukuchukia for no reason.
wanafanya hivyo kutokana na ugumu na changamoto wanazokumbana nazo kwenye maisha..Huko vijijini ni shida aisee
Wananchi wanakunywa pombe kuanzia asubuh hadi jioni ile sheria ya pombe ni kuanzia saa 9 alasiri kule haipo
NGOs Kwa kushirikiana na serikali inabidi watoe seminars juu ya kuzingatia by laws za vijiji bila kusahau sheria mama.
Hali ni mbaya sana Kwa baadhi ya vijiji
HapanaKwahyo jamaa ameoa wote watatu.
PoaHii ni fursa mkuu
Andika proposal tafuta donors taratibu tunaokoa wananchi wetu![]()
![]()
Lakini mkuu huwezi kusolve matatizo kwa kuyakimbia.wanafanya hivyo kutokana na ugumu na changamoto wanazokumbana nazo kwenye maisha..
Hapana mkuu kule ni kujiendekeza,wanafanya hivyo kutokana na ugumu na changamoto wanazokumbana nazo kwenye maisha..