Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,228
- 39,956
Me hapo ndio nakupendeaga, unanisoma mpaka mdau anaona wivu....mdauSawa papaa

Me hapo ndio nakupendeaga, unanisoma mpaka mdau anaona wivu....mdauSawa papaa

Yeah kama hivi.Daah! Basi nahisi huku tulio wengi tuko busy sana, sema ndo hvyo ukipata muda unalog in Jf kama hivi![]()
![]()
![]()
Hata mimi nimekumiss sana braza. Leo nipo mwingi sana kaka, tuwe pamoja.Niaje kamanda.
Nimekumis sana mkuu.
Okey tafuta pesa hizo uje upate kitwangaaMe kwetu Green City but naishi Joto City......huku Bara nimekuja kimchongo tu...nikishaweka mawe mfukoni nasepa
![]()
![]()
![]()
.........
LafikiPapaa...!

Habari yako shemdarling.Sawa papaa
Mdau yupi?Me hapo ndio nakupendeaga, unanisoma mpaka mdau anaona wivu....mdau![]()
Ndo mpangoOkey tafuta pesa hizo uje upate kitwangaa
Usiwaze brother tuko pamoja.Hata mimi nimekumiss sana braza. Leo nipo mwingi sana kaka, tuwe pamoja.
Kiongozi vipiiii....Daah! Basi nahisi huku tulio wengi tuko busy sana, sema ndo hvyo ukipata muda unalog in Jf kama hivi![]()
![]()
![]()
Ili ukamatwe ugoni!![]()
Pita hivi
Pole yako aisee, mimi nko hapa napiga Kitwanga tena kile cha take away![]()
Huku full waislamu....muda huu sipigi KITWANGA nasubiri giza liingie
![]()
![]()
![]()
.....
Nasikia unauza sukari guruDaah! Basi nahisi huku tulio wengi tuko busy sana, sema ndo hvyo ukipata muda unalog in Jf kama hivi![]()
![]()
![]()
Nzuri shem, kitambo sana.Habari yako shemdarling.
Kwani umeongeza mke???Mambo yamekuwa mengi brother.
Pamoja sana kaka.Usiwaze brother tuko pamoja.
Ako kwa parandesi!Mdau yupi?
Hahahaaa.... Kwani mambo kuwa mengi mpaka uongeze mke?Kwani umeongeza mke???