Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,738
- 12,430
Hakika mkuu, bila wasi mpaka mida mibovuHii mida yetu sisi mabazazi, for sure watoto wote wamesha lala mida hii.
Tuna peruzi polepole bila jam jf![]()
Hakika mkuu, bila wasi mpaka mida mibovuHii mida yetu sisi mabazazi, for sure watoto wote wamesha lala mida hii.
Tuna peruzi polepole bila jam jf![]()
Taratibu .....mwenzio nina kamchumba kanasoma 4m 3Wazazi wengine hawaoni faida ya kumpeleka mtoto shule.
Wengine wanafika mbali kabisa na kuamua kuwafungisha ndoa.
Unapozungumzia maisha ya mtoto lazima wazazi watahusika tu.
Amen ndugu yanguAmazing nakusalimu katika Jina LA Bwana....
Umesema vyema wifi yanguSerikali iwawajibishe..... Ndomana kunawekwa serikali za mitaa, ili kuwadhibiti wazazi kama hao
Ni nzuri shemHabari ya asubuhi wakuu.
Mornie mkuu![]()
Aje![]()
Morning Kapukuz
.......
Hawa wanafaa kuchapwa viboko.Umesema vyema wifi yangu
Lengo langu kubwa La kwenda kijiji hicho ni kusisitiza watengeze by laws zitakazo dhitibi issues zote zinazochangia maendeleo kurudi nyuma ikiwemo matumizi mabaya ya vitwanga
Swalama.....Asubuh njema all
Habari ya asubuhi wakuu.
Good morning kapukuu
Niko salama kabisa shemeji.Ni nzuri shem
Hope umeamka salama
Swalama mkuu.Swalama.....
Glory to God
........
Naweee ikupate piaAsubuh njema all
Huko vijijini ni shida aiseeHawa wanafaa kuchapwa viboko.
Yani kuna watu wameridhika kabisa na haya maisha ya mlo mmoja kwa siku.