Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,252
- 21,396
Swalama shekhe wangu
Mkuu ni mbaya sana
Na asirudi....anaenda mbali tena kwa kasi sana.
Huyu bangi anazovuta ni kushabu.Ushakua uzi wa selfika huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walikuwa wanapatikana sijajua siku hizi. Watamu kweli.Ningu ni aina furani ya samaki wanapatikana kwenye maji baridi, hasa maji ya mto.
Sijajua kama wanapatikana Ziwa Victoria.
[emoji1787][emoji1787] Sifa zote hizo mbona sifananii nazo sasaNimefurahi sana kukuona Shunie moja ya vitu vinavyoninyima raha ni kutuona uwepo wako. Macho yako upole, lips za upendo, tabasamu la pesa na moja ya vitu vinavyonifanya niendelee kuwepo hapa JF ni wewe Shunie mwanamke mwenye busara, akili mingi, mpambanaji ntahakikisha naongea na wahenga Obe moudgulf na makaveli10 ili huu mwaka tuwe rasmi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asije akatuharibia uzi wetu huyu Poker mara hii makapuku kuwa selfikaHuyu bangi anazovuta ni kushabu.