....tushajipata, tunakula meza moja na vibopa, na tunataka kila mmoja ale na vibopa ila sio kazi yetu kuwaandalia sahaniMakapuku wa 2016 bado ni makapuku hadi hii 2026 au mshajipata?
Wacha weeee. Niwe chawa wako basi....tushajipata, tunakula meza moja na vibopa, na tunataka kila mmoja ale na vibopa ila sio kazi yetu kuwaandalia sahani
Lol! Makapuku sio makapauka, tunaishi sehemu safi, chawa hawawezi kukaa. Hapa leo tunasubiri kuangalia Senegal kwa Wi-Fi ya jirani.Wacha weeee. Niwe chawa wako basi
Aaah nimekushindwa tabia. HahahaLol! Makapuku sio makapauka, tunaishi sehemu safi, chawa hawawezi kukaa. Hapa leo tunasubiri kuangalia Senegal kwa Wi-Fi ya jirani.
Mtafute Poker ako Mza, atakupa ndoo ya samaki na samaki wa foil. Ukizipokea nitakuja kukubebea
Nimefurahi sana kukuona mdau, kitambo sanaAaah nimekushindwa tabia. Hahaha
Mimi pia zaidi (hata kama nitakukumbuka vizuri next time).lolNimefurahi sana kukuona mdau, kitambo sana