Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Hahahaha....mitaa naifahamu sana hiyo hata Lee anajua. Ila ukikaa sana huko hawachelewi kusema wewe sio Mtanganyika
Hahahaha....mitaa naifahamu sana hiyo hata Lee anajua. Ila ukikaa sana huko hawachelewi kusema wewe sio Mtanganyika
Na kwako pia binamuHeri ya mwaka mpya 2026.
Jukwaa letu lizidi kuwepo kwa mafanikio mwaka huu
Na kwako pia moudHeri ya Mwaka Mpya Makaouku
Salaam zimenifikiq, hali zenu makapuku?Nawasalimu wana jukwaa wote Shunie sio kwa kutususa huku
Atoto salamu haiui Tresor Mandala kheri ya mwaka mpya chifu
moudgulf upo ustadh wangu
Obe msalimie makaveli10
Makiwendo salamu zikufikie popote ulipo Lee salamu mkuu
Seran unaendeleaje
Aisee mambo ni poa tu.Nawasalimu wana jukwaa wote Shunie sio kwa kutususa huku
Atoto salamu haiui Tresor Mandala kheri ya mwaka mpya chifu
moudgulf upo ustadh wangu
Obe msalimie makaveli10
Makiwendo salamu zikufikie popote ulipo Lee salamu mkuu
Seran unaendeleaje
Shwari mkuu.Heri ya Mwaka mpya wadau
Shwari.Heri ya mwaka mpya makapuku
Na kwako pia mkuuHeri ya mwaka mpya makapuku
Na kwako piaHeri ya Mwaka mpya wadau
Huwa nabaki peke yangu humu 🤣🤣 najipostia mwenyewe hakuna ata mtu na mimi sasa hivNawasalimu wana jukwaa wote Shunie sio kwa kutususa huku
Atoto salamu haiui Tresor Mandala kheri ya mwaka mpya chifu
moudgulf upo ustadh wangu
Obe msalimie makaveli10
Makiwendo salamu zikufikie popote ulipo Lee salamu mkuu
Seran unaendeleaje
Safi maka akeeSalaam zimenifikiq, hali zenu makapuku?
Nimekumiss mnoo shunie akeeSafi maka akee
Usilisusie jukwaa siumeona hata makaveli10 alivokumiss Shunie tafadhali rudi jukwaani ili tuwe updated.Huwa nabaki peke yangu humu 🤣🤣 najipostia mwenyewe hakuna ata mtu na mimi sasa hiv
Na nimemmisi kweli kweliUsilisusie jukwaa siumeona hata makaveli10 alivokumiss Shunie tafadhali rudi jukwaani ili tuwe updated.
Ila naomba zawadi ya mwaka mpya 😊