Makapuku Forum

Makapuku Forum

...hapa mimi ninamtuhumu Tresor Mandala kwa kumficha Maki, yaani kuelekea msimu wa sikukuu napmbana na baridi. Atoto plz njoo utuambie ni mpango gani mliosuka na Tresor kuninyang'anya ua langu
Hahahaha,dah hizi tuhuma nahitaji wakili msomi kunitetea, shangazi Shunie hebu Fanya hima umuite Swahiba Makiwendo aje aseme Yuko wapi ,mie lawama sitaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom