Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mapenzi ni kuheshimiana,
Nami mpenz, ninakuheshimu.

Tulizana mpnz, tupendane, tulizana mpenz tupendane..
Halafu kuna kale kabiti kanapita..

Hapo nimekuja na zawadi za kutoka BUKOBA..

ATOTO nakupenda walai mpaka naumwa.. kila nikimuona mtoto, najikuta namuita ATOTO, ili tu niwe nimekutaja hadharani dunia isikie jina la mwanamke nimpendae zaid.. toka nilipofunguliwa ulimwengu wa MOHABATEIN
Mara hii ushafika Bukoba🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Kazi ninayo mwaka huu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom