Ya ndani ya nguo ndio yanapendeza zaidi......ndiyo namna pekee ya kunitibu maumivu. Na hapo sijakuwekea mbinu nyingine, nagonga tequila, nashika simu naanza kuandika mistari kama anayokuandikia makaveli10 halafu asiponijibu ndani ya dakika 10 namtukana matusi ya nje ya nguo
Aaah sasa mimi nahusikaje🤣🤣🤣...nikienda kulala sasa hivi nitaamka usiku sana afu nipate dhambi ya kumkosoa fundi au kujichukulia sheria mkononi. Nampigia mdogo wako kwa namba ngeni kabisa au kama una namba yake nyengine nitumie. Nitakonda afu ndugu zangu wakulaumu wewe
Acha longolongo bwana, nisimulie🤣🤣...yaani nikukiambia hautaamini, fikiria hadi Tresor Mandala aliposikia nilichofanya alinitafuta kunipongeza, ila kipindi hiki sina imani kama atanitafuta maana ni muhisika vyenye napitia.
we baba bado unazurura tu? Rudi nyumbani😮💨Ya ndani ya nguo ndio yanapendeza zaidi...
Narudi soon kipenziwe baba bado unazurura tu? Rudi nyumbani😮💨
Mmmmh!😭😭😭Narudi soon kipenzi
Usilie kipenzi, nami utaniliza.Mmmmh!😭😭😭
😭😭😭😭Usilie kipenzi, nami utaniliza.
Hahahaha,dah Mkuu mie sihusiki labda makaveli10 ndio namuona sana anga zako 😅...yaani nikukiambia hautaamini, fikiria hadi Tresor Mandala aliposikia nilichofanya alinitafuta kunipongeza, ila kipindi hiki sina imani kama atanitafuta maana ni muhisika vyenye napitia.
Nitaenda hapoZipo pale stendi🤣
😢😭😭😭😭😭
Nilipo hata sipajui mkuuMko wapi ?
Mkuu, muache atulie, nimechoka kubembeleza.Hahahaha,dah Mkuu mie sihusiki labda makaveli10 ndio namuona sana anga zako 😅
Kwakweli watuambie🤣🤣Mko wapi ?
🙆♂️🙆♂️🙆♂️Nilipo hata sipajui mkuu
Huko pasipojulikana ulikuwa unambembeleza nani?Mkuu, muache atulie, nimechoka kubembeleza.