Makapuku Forum

Makapuku Forum

Siku moja kabla ya mwisho wa mwezi.
Naam, ni masaa tu sasa kabla September haijayeya na mkubwa October kuingia, hapa siongelei mambo ya tunatiki au NRNE, naongea kuhusu October kuwa karibu kabisa na mwisho wa mwaka. Bado miezi miwili tu ufunge kitabu cha malengo yako na hapa ndo hoja yangu inapokuja leo.
Bila kujali ni asilimia ngapi ya malengo yako yametimia au kutotimia au tuseme kuvuka malengo bado maisha ni kitu kizuri kuwa nacho. Jamii tunayoishi iko vizuri kwa sababu wewe ni sehemu yayo. Na kwa kuwa maisha ni kuyaishi, basi fanya hivi kuongeza siku moja zaidi katika umri wako wa hesabu.

Vaa vizuri, kuwa kwenye mazingira yanayokupa amani ya moyo na akili hapo utakuwa umeongeza masaa 24 zaidi katika hesabu za maisha yako. Usivae nguo chafu, zinaondoa kujiamini hata kama uchafu hauonekani kwa wengine.
 
...dada yako anazo sababu nyingine kabisa za kunikimbia, hii sio mojawapo. Nikikuambia sababu aliyonayo utaumia sana, unaweza hadi kuamua umwambie anirudie haraka kabla sijafanya kama nilivyofanya mwaka ule
Mwaka ule ulifanya
Siku moja kabla ya mwisho wa mwezi.
Naam, ni masaa tu sasa kabla September haijayeya na mkubwa October kuingia, hapa siongelei mambo ya tunatiki au NRNE, naongea kuhusu October kuwa karibu kabisa na mwisho wa mwaka. Bado miezi miwili tu ufunge kitabu cha malengo yako na hapa ndo hoja yangu inapokuja leo.
Bila kujali ni asilimia ngapi ya malengo yako yametimia au kutotimia au tuseme kuvuka malengo bado maisha ni kitu kizuri kuwa nacho. Jamii tunayoishi iko vizuri kwa sababu wewe ni sehemu yayo. Na kwa kuwa maisha ni kuyaishi, basi fanya hivi kuongeza siku moja zaidi katika umri wako wa hesabu.

Vaa vizuri, kuwa kwenye mazingira yanayokupa amani ya moyo na akili hapo utakuwa umeongeza masaa 24 zaidi katika hesabu za maisha yako. Usivae nguo chafu, zinaondoa kujiamini hata kama uchafu hauonekani kwa wengine.
Shemegi umeachwa, ukaamua uwe motivesheno spika!
 
Magazeti ya leo September 30/2025
Screenshot_20250930_063256_Chrome.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom