Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Karibu sana mwenyekiti jisikie upo nyumbaniAsante sana mnipokee mwenyekiti
Karibu sana mwenyekiti jisikie upo nyumbaniAsante sana mnipokee mwenyekiti
Au sio! We subiri.Mie Niko fit sana,mjeda kasoro magwanda
HahahahaAu sio! We subiri.
Wamekula shavuAaah auntie, ukute uko kwa kampeni za baba levo na Makiwendo
...mwenyekiti hana kiti, tumkaribishe kwenye mkeka.Karibu sana mwenyekiti jisikie upo nyumbani
....mwaka umebakiza siku chini ya 100, utaweza, wine ya kanisani sio kali labda ile anayokunywa padreHata hivyo , now nimepumzika nataka nimalize mwaka kabisa bila kunywa pombe kali zaidi ya wine tu
Hahaha nitaweza bwashee....mwaka umebakiza siku chini ya 100, utaweza, wine ya kanisani sio kali labda ile anayokunywa padre
Ndioooo! Halafu wanatuzuga hapa.Wamekula shavu
Basi ngoja niwe ndugu mtazamaji....hii ni kweli kabisa, habari yangu imekwisha ilasubiri kipindi cha pili utaona navopiga style za Ronaldo. Utakuja kunipongeza nakuambia
Usipoweza tunakunywesha maziwa.Hahaha nitaweza bwashee
Shindii naenda job now huku nimezimua 🤣🤣Usipoweza tunakunywesha maziwa.
Wewe ipo siku yako nakwambia.Shindii naenda job now huku nimezimua 🤣🤣
Shindiii nizuiliwe kupata pesa labda🤣🤣 , mimi naishi sehemu zenye starehe hivyo inakua ngumuWewe ipo siku yako nakwambia.
Ipo siku.Shindiii nizuiliwe kupata pesa labda🤣🤣 , mimi naishi sehemu zenye starehe hivyo inakua ngumu
Shindiii nizuiliwe kupata pesa labda🤣🤣 , mimi naishi sehemu zenye starehe hivyo inakua ngumu
Awee wa kike tu bwasheeHebu toa location kabla bajeti ya sikukuu haijaanza ili binamu yangu aje kuona hayo maeneo
Awee wa kike tu bwashee