🤣🤣🤣🤣 na hapo ndipo wastaafu wenzio wanapokupiga knock out....sasa hapa ndo umenena lugha yangu nayotaka kusikia. Uko na mpesa unitumie hela ya bando nikupigie?
Aaaah usijifanye kutokujua. Kwanini unamfanyia hivyo shemeji yangu?Hahahaha 🤣,,Dada yako yupi Tena , Rafiki
Si ndio! Au unasemaje?Mapinduzi tena
🤣🤣🤣🤣 auntie useme vizuri.Halafu hii mara ya pili unaongelea mambo ya kigoma sijawahi kufika mimi
Sawa sawaSi ndio! Au unasemaje?
Karibu sana shindii wangu. Unatumia juisi gani?Shindii nataka nihamie makapuku forum
Huh! Kwahiyo umekubali tufanye mapinduzi?Sawa sawa
Juice ya pera au apple shindii😊Karibu sana shindii wangu. Unatumia juisi gani?
Shindiii wewe uliwahi yaona mapera na maepo huku migombani? Tulia hapo nikuletee juisi ya maparachichi.Juice ya pera au apple shindii😊
Parachichi napenda nile na machalari tu na sio juice😅Shindiii wewe uliwahi yaona mapera na maepo huku migombani? Tulia hapo nikuletee juisi ya maparachichi.
Basi kunywa maji, usubiri lunch ya machalari.Parachichi napenda nile na machalari tu na sio juice😅
Hapo sawa na nikishiba nashushia na bohora la mbege🤣Basi kunywa maji, usubiri lunch ya machalari.