Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,378
- 176,231
Mstaafu hujambo?Natumaini tuko vizuri kabisa humu
Mstaafu hujambo?Natumaini tuko vizuri kabisa humu
Siendelei🤣🤣Mambo, unaendeleaje
Hahahaha,kwann RafikiSiendelei🤣🤣
Si ulisema mtandao unasumbua, sasa hii tecno naifanyaje?Hahahaha,kwann Rafiki
Hahahaha,nileteeSi ulisema mtandao unasumbua, sasa hii tecno naifanyaje?
Au basi🤣🤣Hahahaha,niletee
Nini Tena ,unaghairi ?Au basi🤣🤣
Nimegundua nitakula hela, halafu sitaweza kununua nyingine🤣Nini Tena ,unaghairi ?
Hahahaha,hapo sawaNimegundua nitakula hela, halafu sitaweza kununua nyingine🤣
Nyingine nitanunua MimiNimegundua nitakula hela, halafu sitaweza kununua nyingine🤣
Ooooh! Kama hivyo sawa🤣Nyingine nitanunua Mimi
HahahahaOoooh! Kama hivyo sawa🤣
Sasa sema kabisa, hii tecno naituma kwa namna gani? 🤸🤸Hahahaha
Mpe boda boda aileteSasa sema kabisa, hii tecno naituma kwa namna gani? 🤸🤸
Haya pokea simu umpe maelekezo.Mpe boda boda ailete
Sawa haina tatizoHaya pokea simu umpe maelekezo.
...sijambo sana, napambana hapa kudai hela za mafdao nikaoteshe mikorosho. Vipi wewe?Mstaafu hujambo?
Kumbe kuna mkongoman tena🤣🤣🤣...sijambo sana, napambana hapa kudai hela za mafdao nikaoteshe mikorosho. Vipi wewe?
Maki kampeni zimemshika sana au ndo yule mkongoman kanichukulia salamu yangu?
Yupi Tena huyooo...sijambo sana, napambana hapa kudai hela za mafdao nikaoteshe mikorosho. Vipi wewe?
Maki kampeni zimemshika sana au ndo yule mkongoman kanichukulia salamu yangu?