Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,639
Kuna zile wanaziita kiswaswandu!!!!!!!! Wanafungia ilhali wanaingia kimtindo mwingineHahahaha, wanataka tubaki na vitochi
Kuna zile wanaziita kiswaswandu!!!!!!!! Wanafungia ilhali wanaingia kimtindo mwingineHahahaha, wanataka tubaki na vitochi
...hiyo nayo si imefungiwa au mambo za virtual private network yatahusika?Tunahamia X🤣
Kulala🤣🤣Weekend yote hii mbio za wapi ?
Ila maisha ya kitochi raha sana.Hahahaha, wanataka tubaki na vitochi
Mimi nipo zaire🤣...hiyo nayo si imefungiwa au mambo za virtual private network yatahusika?
![]()
Raha sana ,huna stress ya bando na kupitwa umbeyaIla maisha ya kitochi raha sana.
Ngoja nitafute mteja wa hii tecno.Raha sana ,huna stress ya bando na kupitwa umbeya
....basi JF na ofisi za jukwaa hili, zihamishiwe hapo ulipo na usisahau kuwasalimia Makoma Butu na MoyiMimi nipo zaire🤣
Hahahaha,bei gani nikutafutie mtejaNgoja nitafute mteja wa hii tecno.
Afu hamsini tu🤣Hahahaha,bei gani nikutafutie mteja
Zimefika🤣....basi JF na ofisi za jukwaa hili, zihamishiwe hapo ulipo na usisahau kuwasalimia Makoma Butu na Moyi
Hahahaha,Kwa bei Hy acha nimchukulie mtu ,🤣🤣Afu hamsini tu🤣
Fanya fasta angalau niianze wiki vizuri😋Hahahaha,Kwa bei Hy acha nimchukulie mtu ,🤣🤣
Hahahaha,hujalala? Mtandao unasumbua 🤣🤣, tungefanya businessFanya fasta angalau niianze wiki vizuri😋
Mweeeh! Acha fix basi🤣Hahahaha,hujalala? Mtandao unasumbua 🤣🤣, tungefanya business
Fix kivipi sasa? DahMweeeh! Acha fix basi🤣
😭😭😭😭Fix kivipi sasa? Dah
Mambo, unaendeleaje😭😭😭😭