Lipo salama ila nilisikia Atoto account yake ipo hacked sijajua upande wa kipenzi changu Shunie maana hata magazeti hayaonekani, labda Tresor Mandala anaweza kuwa na info zaidi. Ila ni kukaa kwa tahadhari kama moudgulfNilisikia JF ilitembelewa na wenye kazi maalum, natest mitambo kama hili jukwaa lipo salama
Server ninazo mimi.Lipo salama ila nilisikia Atoto account yake ipo hacked sijajua upande wa kipenzi changu Shunie maana hata magazeti hayaonekani, labda Tresor Mandala anaweza kuwa na info zaidi. Ila ni kukaa kwa tahadhari kama moudgulf
Shwaaa JF imepigww Ban la siku 90.Server ninazo mimi.
...kazi ipo! Itakuwa ni kwa post za kina BritannicaShwaaa JF imepigww Ban la siku 90.
Tunahamia X🤣Shwaaa JF imepigww Ban la siku 90.
Hahahaha,Lipo salama ila nilisikia Atoto account yake ipo hacked sijajua upande wa kipenzi changu Shunie maana hata magazeti hayaonekani, labda Tresor Mandala anaweza kuwa na info zaidi. Ila ni kukaa kwa tahadhari kama moudgulf
Hahahaha, nishawishi nikifuateTunahamia X🤣
Uko vzrServer ninazo mimi.
Aaah sasa hii nchi ban kila mahali mbona mambo yanakuwa magumu🙆♂️🙆♂️Hahahaha, nishawishi nikifuate
Weekend yote hii mbio za wapi ?🤣🤣🤣
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hahahaha, wanataka tubaki na vitochiAaah sasa hii nchi ban kila mahali mbona mambo yanakuwa magumu🙆♂️🙆♂️