Makapuku Forum

Makapuku Forum

Timu bora imeshinda. #TotalEnergiesCAFCL #WenyeNchi #NguvuMoja
Screenshot_20231219_182619_Instagram.jpg
 
Hapo mwishoni Mtalaam kaweka Mabeki saba halafu timu karibia yote ipo chini, imefika wakati wa kona Wachezaji hawajui nani akapige kona hiyo ndio Haram Football sasa!

Mourinho aliwahi kuwaambia Wachezaji wake acheni kila kitu nisikilizeni tu Mimi na msiongeze kitu, ndio hii ya leo
Screenshot_20231219_182838_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom