Makapuku Forum

Makapuku Forum

To my Auntie Shunie

A very Happy birthday to you Mama
Ahsante kwa kila kitu kwangu...I wish ningekuwepo leo..Maana hunaga jambo dogo Auntie yangu wewe

Huyu Yesu na azidi kukutunza.....Baraka zake ziwe na wewe kila iitwapo leo...

Nakupenda.
 
Asante auntie yangu mzuri mzuriii, asante kwa kuwa pembeni yangu nakupenda mnooooo

Hapo kwenye sina jambo dogo nimecheka auntie leo bwana napokea miamala tu na hapa nimeshafanyiwa booking ya kutolewa dinner na dada angu baadae tutaonana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom