Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Nipo naandaa ujumbe. Hadi siku ifike litakuwa gazeti. Mwisho namalizia "hongera" ndio kitu pekee naweza kukupa.Nakujua bwanah
Nipo naandaa ujumbe. Hadi siku ifike litakuwa gazeti. Mwisho namalizia "hongera" ndio kitu pekee naweza kukupa.

Nacheka mimi kwahiyo kumalizia na kutaka lipa no hautakiii alooh auntie ninaye
HahahahaCarasco Putin nimekumiss aiseee huyo mshangazi aliyekuteka ebu akuachie basi jamani
Ukinionea makaveli10 mwambia namtafuta.Carasco Putin nimekumiss aiseee huyo mshangazi aliyekuteka ebu akuachie basi jamani
Hivi lipa namba huwa wanalipia nini?Nacheka mimi kwahiyo kumalizia na kutaka lipa no hautakiii alooh auntie ninaye
Pita pale kwake utakutana na bango kaandika, "makaveli10, sasa nimehamia mtaa wa 7 toka hapa nilipokuwa nikikaa zamani"Ukinionea makaveli10 mwambia namtafuta.
Yaani babe wako nikutafutie mimiUkinionea makaveli10 mwambia namtafuta.

hujui pa kumpata au hamjavushana nje ya sever za jf
sijui ni kwa nini mpaka Leo huu uzi hajawa Pinned Hapa Jukwaani. Mwandishi wa huu uzi hajawah onekana humu kwa muda mrefu au alibadili Jina.Mwe mweeeeh!!Pita pale kwake utakutana na bango kaandika, "makaveli10, sasa nimehamia mtaa wa 7 toka hapa nilipokuwa nikikaa zamani"
Ndio majibu gani ya kumpa auntie yanko haya we mtoto😳😳😳Yaani babe wako nikutafutie mimihujui pa kumpata au hamjavushana nje ya sever za jf
Nijikute tu.unalipa pesa wewe lipa tu
Watag mods mkuu wauweke pinnedsijui ni kwa nini mpaka Leo huu uzi hajawa Pinned Hapa Jukwaani. Mwandishi wa huu uzi hajawah onekana humu kwa muda mrefu au alibadili Jina.
Ndio majibu gani ya kumpa auntie yanko haya we mtoto![]()

Sasa nilichokosea nini auntie yangu mzuri mzuri
Sitakiii🤣Sasa nilichokosea nini auntie yangu mzuri mzuri
Unataka nini eti auntie yangu mzuri mzuriSitakiii![]()

Nataka hela 😜Unataka nini eti auntie yangu mzuri mzuri![]()