Iwe shunie and family company😂😂😂Iweje?
😂😂😂😂 sasa ndio unisimange!!Nitakutumia ile zawadi yako....
Sasa wewe endelea.
Auntie usicheke bwana, ataninyima😂
Akiiii nimecheka sanaaaaIwe shunie and family company![]()

Hili ndilo jina tamu sasa😂Akiiii nimecheka sanaaaa![]()
😳😳😳😳Afumbili me mtoto sitakiiiii nataka wekundu wekundu
Iwe shunie and family company![]()




Halafu kweli.. Basi naaachasasa ndio unisimange!!
Ahsante sana Dogo lake...
Hili ndilo jina tamu sasa![]()
Ebu jaribu kunisaidia na we kwa Melo auntie
Sitakiiii baki na afumbili yako![]()
Hata afumbili mbona ni nyekundu auntie.
Nisaidieni kumwambiaHalafu kweli..
Hii imekaa poa..
Max aione aiseee

Eeeh namna hiyo😂, na hata ukinisimanga najali sasa!! Cha muhimu naitaka 🤣🤣🤣Basi naaacha