Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Itafika usijali
Itafika usijali
Ningekuwa mjini leo ilitakiwa ule mbuzi mzima.
Sawa sawa Mkuu....Itafika usijali
Halafu weweNingekuwa mjini leo ilitakiwa ule mbuzi mzima.


NyieeeeeItafika usijali
Mungu azidi kukubariki Al Watani
AririiiiiiiiiiiiNingekuwa mjini leo ilitakiwa ule mbuzi mzima.

Leo sherehekea birthday kwanza kesi baadaeHalafu wewe
Una kesi kubwa sana ya kujibu.
Weeeeh mbona ghafla sana 😳😳😳😳Subiria auntie na we siku yako ifike muamala utakufikiaila jiandae na yangu kwanza dec utume muamala
Hivi hamna namna mods wanaweza badili title ya uzi jamani 🙆🙆🙆
Weeeeh mbona ghafla sana
Mungu hapendi visasi auntie![]()


Hakuna visasi auntie jiandae na dec muamala usome dec ya shunie na maokoto
Waligoma kabisaHivi hamna namna mods wanaweza badili title ya uzi jamani![]()
Isogeze mpaka Dec 2026 basi khaaah!Hakuna visasi auntie jiandae na dec muamala usome dec ya shunie na maokoto
Ni huzuni kwakweli😭😭Waligoma kabisa
HahahahaaAsante kwa kuniita mratibu mkuu wa makapuku.🤣
Na mimi naungana na makapuku wote(japo mie sio kapuku), I wish madam Makiwendo mwaka mwingine wenye baraka zote, afya ya kutosha na mafanikio kama yote, azidi kuwa kabinti!!
Huyo Mpare sijui anakatiza mitaa gani sasa hivi...