Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666

Nitakutumia ile zawadi yako....

Asante kwa kuniita mratibu mkuu wa makapuku.![]()
Na mimi naungana na makapuku wote(japo mie sio kapuku), I wish madam Makiwendo mwaka mwingine wenye baraka zote, afya ya kutosha na mafanikio kama yote, azidi kuwa kabinti!!

HahahahahaIweje?

Kikubwa umefika halafu hatupo makapuku jamani hilo ni jina tu kila siku tunakwambiaKikubwa umefika halafu hatupo makapuku jamani hilo ni jina tu kila siku tunakwambia

Muoga sana huyo.
Waambie jamaa wabadilishe hayo maneno!!Kikubwa umefika halafu hatupo makapuku jamani hilo ni jina tu kila siku tunakwambia
Nilishawaambia wamegoma bwanahWaambie jamaa wabadilishe hayo maneno!!
Libaki hilo hiloNilishawaambia wamegoma bwanah
Uzuri halimaanishi waliopo wako hivyo😂😂eti hawalipendi
Hahahaha,kumbee !! SidhaniShunie mwenyewe anajishtukia halipendi.
HahahahahahaNitafanyaje sina jinsi acha nipambane nalo tu![]()