Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,414
- 176,331
Majinjah usinitafute la rohoni tafadhali😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tumepokea Mzee mwenzangu...
Ila nikuambie au watakuambia?
Majinjah usinitafute la rohoni tafadhali😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tumepokea Mzee mwenzangu...
Ila nikuambie au watakuambia?
Marahabaa!Shikamoo mrembooo
Basi na aifoni zenu za kikuu mnajiona mmeyapatiaaaa😂😂😂Shunie hizo level za tecno ashazivuka ...@atoto ndo zake
Changamoto😂😂😂Ndio wamekuachia leo
Unatumia app?Poleni sana, wengine tunapeta tu
Ila hii avata mbona kama inanicheka!! Hebu itoe.Hongereni Swahiba
Yes ,Rafiki,hilo tatizo sijakutana naloUnatumia app?
....ninaipenda sana , ukiitoa kwa kushawishiwa na mtu nitaipenda pia hiyo utakayoweka. Ndiyo maisha niliyoyachagua hadi nitenguliwe
Siitoi wala nini..
....ninaipenda sana , ukiitoa kwa kushawishiwa na mtu nitaipenda pia hiyo utakayoweka. Ndiyo maisha niliyoyachagua hadi nitenguliwe

Ahsante Binamu..
Asante we mzeePoleni sana, wengine tunapeta tu
Yaani auntieTunapata usumbufu mkubwa sana Auntie..
Yaani mwenyewe siipendiiIla hii avata mbona kama inanicheka!! Hebu itoe.
nashindwa kuizoea nilimuuliza auntie huyo ni nani
....ninaipenda sana , ukiitoa kwa kushawishiwa na mtu nitaipenda pia hiyo utakayoweka. Ndiyo maisha niliyoyachagua hadi nitenguliwe

Nimecheka kwa sautiMmmh! Version ipi?Yes ,Rafiki,hilo tatizo sijakutana nalo
Imekaa kimkakati sana 😂😂😂
Siitoi wala nini..
Mie sijuiMmmh! Version ipi?
😂😂😂😂😂Yaani mwenyewe siipendiinashindwa kuizoea nilimuuliza auntie huyo ni nani