Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Maka akeeeShunie akee
Maka akeeeShunie akee
Mzima?Maka akeee
Mzima sijui weweMzima?
TANESCO walikuwa wakilishwa maharage kwa siku 729.. madhara yake ndio haya watu wanakatiwa umemem hovyoMagazeti ya leo September 24, 2023.
Mie mzima kwa kweli.. Atoto 🥰 anakamilisha uzima wangu.Mzima sijui wewe
😘😘😘😘❤️Ahsante kipenzi changu, nawe uwe na wikiendi njema.
😂😂😂😂Hao wengi yawakute ya UTIMBI NA UTIMBILIO yaani LIWALO NA LIWE.🤣
Itakuwa labda ndio inayowalipa😂😂Ila jf mnavyolazimisha kutumia browser mpaka tunatumia ukifungua app haikubali jamani
Nilidhani ni kwangu tu...Ila jf mnavyolazimisha kutumia browser mpaka tunatumia ukifungua app haikubali jamani
😂😂😂😂😂😂Tumepokea Mzee mwenzangu...Ahsante kipenzi changu, nawe uw na wikiendi njema.
Hao wengi yawakute ya UTIMBI NA UTIMBILIO yaani LIWALO NA LIWE.🤣
Abeee ndugu yangu..Mzee mwenzangu.