Halafu Lee hanywi pombe kabisa hata harufu haipendi kabisa kuisikia




atasema napenda mbunyeee huyo msuka dreadDada yangu peke yangu🤣🤣🤣
Kuwa na Adabu... shenzi zako...
Nilikwambia ukija dar panga tuonane na auntie maki tutakutana kijiwe mishikakiAchana nao.
Sasa tuongee ya msingi, mkoba wanguuuuu.
Kale kwenu
Unachokaje na haujapika!! Njaa inauma.
.. hapa Story tu..
Aaah wapiii toka liniMimi hapa auntie yangu kipenzi.
Jinga weweWatu wa iPhone mnajikutaga...
Mkipiga picha ni mnapost, hakuna kujificha ficha![]()

Nipo kona ...nikupitie?Kale kwenu.. hapa Story tu..
Mambo niyapendayo😜
Double si ulikataaa au umeshabadili mawazoNdio si ulichosema double![]()

Hebu acheni watu walio single wakae kwa Amani nyie watu...Khaaa!!!Babe ile kitu jamaniii

Haya ndio mambo sasa![]()
Ebu niache na babe wanguKikuuuuu🤣🤣🤣Alafu kweliii ...jioni ukipate
HajahahahahaDouble si ulikataaa au umeshabadili mawazo![]()
Niambie shemKikuuuuu![]()
Kabisa Auntie....

Hebu acheni watu walio single wakae kwa Amani nyie watu...Khaaa!!!![]()




Ninachojua we auntie yangu haupo singleSina watu wa hovyo hovyo auntie🤣🤣Picha zangu hazijakufia auntie![]()