Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
PoaWooooi ndio maana nakwambia unachovuta achaa.
PoaWooooi ndio maana nakwambia unachovuta achaa.
Auntie unaogopa na wakati picha zimesambaa ukooo



hivi kikuu hizo dread umetoka nazo wapi?
Auntie usikute katumiwa picha kaambiwa huyo mwenye dread ndio wewe unafanya mchezo na jf🤣🤣🤣🤣Unamkoseaa![]()
Angekuwa anakupa vizuri hicho kichwa kuisingekuwa na weenge namna hiyoKunipa raha.
Sitaki kukumbuka zile nyakati..
Tumekuwa watu wa Amani tu sasa hivi...
Tunamshukuru Mungu kwakweli wamesambaziana picha weeh mpaka wamechoka
Huyu namjua vzuriii na magauni yake ya maua mauaAuntie usikute katumiwa picha kaambiwa huyo mwenye dread ndio wewe unafanya mchezo na jf
Naomba uniache Auntie...Nimechoka
Auntie sio vizuri ujue
Huyu namjua vzuriii na magauni yake ya maua maua
Nyieeeeee
Picha niliweka mimi wala usisumbue kichwaShikamoo Mkuu...
Umemuona Baby wako lakini?![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Auntie usikute katumiwa picha kaambiwa huyo mwenye dread ndio wewe unafanya mchezo na jf
Na upole wote huu😳😳😳Angekuwa anakupa vizuri hicho kichwa kuisingekuwa na weenge namna hiyo
Ndio maaana nakupenda mimiPicha niliweka mimi wala usisumbue kichwa
Haya babeNa upole wote huu![]()
🤣🤣🤣🤣
Naomba uniache Auntie...Nimechoka
Kwakweli, maana kanikazania kweli na dread!!!



Jf hapana kuna mambo yaweza kuendelea wewe muhusika hata huyajui jamaniii unabaki kushangaa na kuchekaNamimi naiomba hiyo picha, haiwezekani!!Tunamshukuru Mungu kwakweli wamesambaziana picha weeh mpaka wamechoka