Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Mpole nani etiiiiNa upole wote huu![]()
Mpole nani etiiiiNa upole wote huu![]()
Babe ile kitu jamaniiiHaya babe
🤣🤣🤣🤣🤣 sio ya vitenge?Huyu namjua vzuriii na magauni yake ya maua maua
Alafu kweliii ...jioni ukipateBabe ile kitu jamaniii
Picha zangu hazijakufia auntieNamimi naiomba hiyo picha, haiwezekani!!

Hivi ndio pafu moja inakaa kichwani kwa muda gani🙆🙆🙆Haya babe
Tunamshukuru Mungu kwakweli wamesambaziana picha weeh mpaka wamechoka





sio ya vitenge?
Nacheka mimiMimi sitaki bhanaAuntie sio vizuri ujue

Mh au unachanganya habari ile niliyokutumia picha ile sikuAlafu kweliii ...jioni ukipate

Achana nao.Jf hapana kuna mambo yaweza kuendelea wewe muhusika hata huyajui jamaniii unabaki kushangaa na kucheka
Mimi hapa auntie yangu kipenzi.Mpole nani etiiii
Halafu Lee hanywi pombe kabisa hata harufu haipendi kabisa kuisikiaHivi ndio pafu moja inakaa kichwani kwa muda gani![]()
Inategemea ...Hivi ndio pafu moja inakaa kichwani kwa muda gani![]()
Watu wa iPhone mnajikutaga...Picha niliweka mimi wala usisumbue kichwa

Ndio si ulichosema doubleMh au unachanganya habari ile niliyokutumia picha ile siku![]()


Haya ndio mambo sasa 🤣🤣🤣Babe ile kitu jamaniii