Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,479
- 176,527
Ifoni ya kikuu🤣🤣🤣Watu wa iPhone mnajikutaga...
Mkipiga picha ni mnapost, hakuna kujificha ficha![]()
Ifoni ya kikuu🤣🤣🤣Watu wa iPhone mnajikutaga...
Mkipiga picha ni mnapost, hakuna kujificha ficha![]()
Basi tutaenda hilo chimbo umeacha pombe au umepumzika auntie usiniambie umeokokaHiyo weka tick...Nitakupeleka Chimbo moja zuri sana Auntie..kuna nyama za kila aina...
Ila Pombe ndugu yako nimeacha![]()
Ifoni ya kikuu![]()

Eti jamani!!!!Halafu kweliii unajua kuwa na watu wa hovyohvyo mnakosa vya kuongea mnaongea uwongo sasa mimi na auntie Makiwendo tunaanzaje kuongea mambo ya hovyo au kujadili watu




Sitaki kukumbuka nilivyocheka...
Sasa ukiwa mnywaji utakuwaje jamani utatupa shida baki hivihivi babedaaaah umenichoka kweli
Si watu vile wameamua tuishi...Kwamba ndio umekuwa katili hivyo

Sasa pochi masharti na vigezo kuzingatiwa tuonane tukiwa na wewe nimpe




Ndiyo yapi Shem?maeneo yako pendwa
Eti jamani!!!!
Na Mke wa mtu su su sumu atacheza nani?Sitaki kukumbuka nilivyocheka...
Hii kichwa yangu iache tu auntie nikishapiga vitu vyangu huwa sijui najikuta nani jamani
Kwahiyo mimi nina roho ngumu!!!

Nimeacha kabisa kabisaBasi tutaenda hilo chimbo umeacha pombe au umepumzika auntie usiniambie umeokoka

Naja vere suni, andaa tu mikoba yangu na hela ya mishkaki🤣🤣Nilikwambia ukija dar panga tuonane na auntie maki tutakutana kijiwe mishikaki
Hii kichwa yangu iache tu auntie nikishapiga vitu vyangu huwa sijui najikuta nani jamani





Umeamua ujitajie mwenyewe vitu unapenda🤣🤣🤣atasema napenda mbunyeee huyo msuka dread
Si ndio kwetu hapa🤣🤣🤣Kale kwenu.. hapa Story tu..
Ni wivu tu!Aaah wapiii toka lini