Hawa watu wa hovyoo kabisa, wamezoea matume tu kwa ajiri ya upigaji.. mataa yale ya kizamani huitaji hata kuwa elimu kubwa kuona wanakiwa badirisha mifumoo sWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo May 06, 2023 akiwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, amepokea taarifa ya Kamati aliyoiunda kuchunguza tukio la kukatika umeme katika uwanja huo wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati Timu ya Yanga na Rivers United ya Nigeria.
Baada ya kupokea taarifa hiyo, Waziri Dkt. Chana amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Said Yakubu kufanyia kazi taarifa hiyo ikiwemo kuchukua hatua zinazostahili kulingana na taarifa hiyo.
Tukio hilo la kupokea taarifa limehudhuriwa pia na Naibu Katibu Mkuu, Nicholaus Mkapa.
Kamati hiyo imeongozwa na Mwenyekiti Mhandisi Keneth Boymanda kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), ikiwa na Wajumbe kutoka Wakala wa
Majengo (TBA) na baadhi ya Watumishi wa Wizara.
View attachment 2612802
Dah! Chako ni chako kuna makuku matamuBaraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezifungia bar za wazi za Rainbow na Chako ni Chako Pub za Jijini Dodoma baada kukuta kelele zilizo kinyume cha sheria ya usimamizi wa mazingira namba 20 ya mwaka 2004 na kanuni ya viwango vya udhibiti wa kelele na mtetemo ya mwaka 2015.
Akiongea leo Dodoma katika oparesheni hiyo Saida Madusi Afisa Mkaguzi wa Mazingira wa NEMC Kanda ya Kati, amesema walifanya ukaguzi huo majira ya saa tisa usiku na kukuta ukiukwaji wa sheria hiyo “Sheria hiyo inasema maeneo ambayo yanazunguka maeneo ya Watu na kuna biashara kelele zinatakiwa kuwa 60 DBA wakati wa mchana na 40 usiku, tumefanya ukaguzi katika maeneo mbalimbali ya biashara yaliyo jirani na makazi ya Watu”
“Tumefika hapa tumekuta kelele zimefika mpaka 68 DBA na zilikuwa zinasikika hadi nje na tumetembela Majirani walikuwa wanalalamika hizo kelele, sasa tumewaagiza Jumatatu wafike Ofisi za NEMC Kanda ya Kati”
View attachment 2612803
Poleni sanaDah! Chako ni chako kuna makuku matamu
Forensic ya polisi hovyo kabisaa, mkemia afanye kazi yake, polisi hawapo seriousMagazeti ya leo May 7, 2023View attachment 2612767
Eneseketeshaaa sanaaPoleni sana
Hapo kuna watu Wana line Hadi kumii.. duh!Wakati ripoti ya matokeo ya sensa ya Tanzania yaliyotangazwa mwaka 2022 yakionesha kuwa Tanzania ina Watu milioni 61 na laki saba, Ripoti mpya iliyotolewa na TCRA imeonesha kuwa hadi March 2023 idadi ya laini za simu zilizoko kwenye matumizi Nchini ni milioni 58.1
Kwenye idadi hiyo Dar es salaam imeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya laini za simu zinazotumika ‘active simcards) kuliko Mkoa mwingine wowote.
1. DSM - 10,936,342
2. Mwanza 3,958,286
3. Arusha 3,713,004
4. Mbeya 3,591,274
5. Dodoma 3,216,101
View attachment 2612790