Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,010
Mkazi wa Dar es salaam, Gaston Massawe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa shitaka la kusambaza taarifa za uongo kupitia mtandao wa Tiktok zilizosema “ukiagiza gari nje ya nchi, watumishi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) wanang’oa vifaa.”
Mshitakiwa amekiri kufanya kitendo hicho akidai video ilikuwa ya bandari nyingine na kwamba alifanya hivyo ili kuwapa taarifa polisi juu ya mambo hayo yanayofanyika.
Mshitakiwa amekiri kufanya kitendo hicho akidai video ilikuwa ya bandari nyingine na kwamba alifanya hivyo ili kuwapa taarifa polisi juu ya mambo hayo yanayofanyika.

️ Ake
Mbio za Ubingwa EPL