Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
.
[emoji599] JUST IN: Baada ya Kariakoo Derby, mechi ya Namungo dhidi ya Simba na Singida Big Stars dhidi ya Yanga kwenye NBC Premier League ambapo zilitarajiwa kupigwa wiki hii zimeahirishwa ili kuwapa muda wa kujiandaa Simba na Yanga kwenye mechi za robo fainali kimataifa.